学习所有语言点击这里-进入主页

快速学说英语一分钟就会

斯瓦西里语口语900句 表达不同的观点

646. 他是个很有创造力的学生。
647. 你说的很有意思。
648. 在这一点上,我不能同意你的意见。
649. 你抓住了问题的实质。
650. 这正是问题的关键。
651. 全班同学正在热烈讨论。
652. 我们来看一下赞成和反对的理由。
653. 请把你刚才说的总结一下。
654. 关于这点,谁还有什么别的要说吗?
655. 有谁同意大卫的观点吗?
656. 有什么证据可以支持你的说法吗?
657. 这得视情况而定。
658. 我想我们没有必要进一步讨论这个问题。
659. 每件事都有两面性。
660. 最后我们达成了一致。
646. Ni mwanafunzi mbunifu sana.
647. Ulichosema kinapendeza sana.
648. Katika hatua hii siwezi kukubaliana nawe.
649. Umefikia kiini cha jambo hilo.
650. Huu ndio msingi wa mambo.
651. Darasa zima lina majadiliano ya kusisimua.
652. Hebu tuangalie hoja za kutetea na kupinga.
653. Tafadhali fupisha ulichosema hivi punde.
654. Je, kuna yeyote mwingine wa kusema kuhusu hili?
655. Je, kuna yeyote anayekubaliana na Daudi?
656. Je, kuna ushahidi wowote wa kuunga mkono kauli yako?
657. Hii inategemea mazingira.
658. Sidhani kama tunahitaji kulijadili hili zaidi.
659. Kila kitu kina pande mbili.
660. Mwishowe tuliafikiana.